Green Eagle nje ya World Cup
Naijeria jana imefungwa magoli 2 – 1 na Ugiriki hivyo kupoteza matumaini ya kuvuka kizingiti cha kuendelea raundi ya pili ya kombe la dunia. Ufaransa nayo ilionyeshwa jinsi ya kulisakata soka, kwa kufungwa magoli 2 – 0 na Mexico.
Matokeo mengine ya mechi zilizochezwa jana
Mexico vs. Ufaransa 2 – 0
Ajentina vs. Korea Kusini 4 – 1
No comments:
Post a Comment