L.A.Lakers mabingwa wa NBA mwaka 2010
L.A.Lakers wamewafungwa Boston Celtics 83 – 79 kwenye mchezo wa saba wa fainali za NBA. Hii ni mara ya 16 kwa Lakers kuwa mabingwa wa NBA na ni mara ya tano kwa mchezaji wao maarufu wa kutegemea, Kobe Bryant kuwachukua ubingwa akiwa na L.A.Lakers.
Matokeo ya kombe la dunia
Ujerumani vs. Serbia 0 – 1
Slovenia vs. United States 2 – 2
Algeria vs. England 0 – 0
No comments:
Post a Comment