Sunday, June 27, 2010

Mapumziko

England vs. Germany 1 – 2

Goli la England kutoka kwa Frank Lampard limegonga mwamba wa juu na kuangukia ndani ya mstrai wa goli lakini refarii kalikataa. Hakuona!!! Aibu tunahitaji video kwenye mechi za mpira. Wakati muafaka umefika. Blatter aache upuuzi wake!

No comments: