Brazil wamecheza mpira wa kitabu kama alivyoagizia dokta (kocha). Wako very economical kwa mpira, hawapigi tu for the sake of kupiga mpira, wanapiga kwa mahesabu. Pasi zao za gonga, hakuna kuharibu pasi.
Mpira wao very scientific, as in the case of brain vs brawn. Ball possession - perfect - over 70%. Ball skills - perfect. Utakuta hata magoli yao yote mawili ni well-engineered.
Maicon alikuwa nyuma. Ilipofika wakati wa kushambulia, alitoka unyoa kama mental na kuji-position kwenye right hand flank. Alipotupiwa mpira aliachia shoot kwenye tight
angle ambayo keeper asingeweza ku-save. Naye Elano alifunga la pili kwenye tight angles.
Kipa wao Julio Cezar ni mzuri lakini alikuwa vacation maana mara chache sana mpira ulimfikia. Ji Yu Num wa North Korea naye anastahili pongezi maana alimzubaisha na kufunga.
Mdau Gulf Travel: gulf_travel@yahoo.com
Mechi zingine zilizochwzwa jana.
New Zealand vs. Slovakia 1 - 1
Cote d´Ivoire vs. Ureno (Portugal) 0 - 0
No comments:
Post a Comment