Thursday, June 17, 2010

Norway

Kadi za benki zakataliwa kwenye ATM/madukani 


Mashine zote za kutolea hela (ATM) na za madukani nchini kote Norway leo “zilisusa” kufanya kazi kuanzia asubuhi mpaka kwenye saa 7:15  (13:15 CET) za mchana leo. Mpaka sasa kilichosababisha hizo kadi kutokukukubalika kwenye hizo mashine za ATM na za madukani hakijulikani.


No comments: