Saturday, June 19, 2010

Norway

Likizo ya majira ya Kiangazi



Waalimu na wanafunzi hapa Norway,
jana Ijumaa tarehe 18.Juni 2010,
walianza likizo  ya majira ya Kiangazi.
Likizo hii ni kuanzia Juni 18
hadi Agosti 23, karibu wiki 9.


No comments: