Friday, June 25, 2010

Raundi ya michuano imeisha


Kundi  G

Brazil vs. Ureno  0 – 0


Cote D´Ivoire vs Korea Kaskazini  3 - 0 

Brazil mshindi wa kundi akifuatiwa na Ureno. Mechi hii ilikuwa kama ya kutimiza wajibu, timu zote zikijua kuwa zinasonga mbele.

Kundi  H

Hispania vs. Chile  2 – 1

Uswiss vs. Honduras  0 – 0

Mshindi ni Hispania wa kundi hili. Chile akifuatia. Zinasonga mbele


No comments: