Wednesday, June 30, 2010

Tamko la BAKWATA kuhusu mahakama ya kadhi

Sheikh Mkuu wa Tanzania, Issa shaaban Simba atoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi nchini Tanzania jana Jumanne Juni 29, akiwataka waislamu wote nchini kufanya subira wakati majadiliano kati ya wanasheria wa Kiislamu na waserikali wakiendelea na majadiliano juu ya suala hilo.



No comments: