Tanzania
Sakata la Wachina wanaojizolea
dhahabu Chunya 'lanoga'
HATIMAYE Serikali imesitisha shughuli za uchimbaji madini ndani ya Mto Zira na Lupa katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya zilizokuwa zikifanywa na Kampuni ya Kichina ya EPOCH Mining; ikiwa ni wiki mbili tu baada ya gazeti hili la Raia Mwema kufichua habari hizo katika ripoti yake maalumu…bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment