Nadia Benaissa
Hukumu ya mwanadada mwanamziki wa Kijerumani, Nadia Benaissa imetolewa leo na amehukumiwa kifungo cha nje cha majaribio cha miaka miwili, baada ya mahakama kumkuta na hatia ya kuwaambukiza VVU (Virusi Vya Ukimwi) wanaume watatu aliofanya nao ngono zembe kuanzia 2004. Nadia alikjua kuwa, tokea mwaka 1999. Vile vile amehukumiwa masaa 300 kufanya kazi za kijamii, kama kusafisha barabara, kuzoa takataka n.k.
Mwanadada huyu akipata umaarufu akiwa kwenye kundi liitwalo ”No Angels”, waliposhinda mashindano ya mziki mjini Ujerumani mwaka 2000. Kundi lilivunjika mwaka 2003 na wanamziki wa kundi hilo wakaliunda upya mwaka 2007
Chanzo cha habari:
2. Der Spiegel

No comments:
Post a Comment