Friday, August 20, 2010

Kwa nini kuna sheria moja kwa masponji
na nyingine kwa masimenti?




Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke, 
Uzitoni Street,
Bongo.


VIPI mpenzi,

Unaendeleaje?  Nimefurahi mno mno mno kusikia kwamba utakuja baada ya wiki moja.   Yaani mpenzi.  Nina furaha kuliko hata yule aliyeshinda kura za maoni bila kumulikwa ametoa rushwa teh teh teh.  Njoo mshindi wangu nami nikupongeze na mahaba yote niliyo nayo....bofya na endelea>>>>>


No comments: