Katika ajali hii ya kusikitisha, watu wanne walifariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa vibaya sana.
Ajali hii ilitokea nchini Afrika Kusini mwezi wa nne mwaka huu lakini video yake imetolewa hivi karibuni ili watu wajifunze usalama barabarani.
Video ya tukio hili ilichukuliwa na mwanaume mmoja ambaye wakati huo alikuwa akichukua video ya nyumba anayoijenga pembeni ya barabara.
Alifanikiwa kulinasa tukio zima la ajali hii kuanzia wakati dereva aliposhindwa kuukontroo usukani na kuanza kuyumbayumba kabla ya kupinduka na kuwamwaga chini watu saba waliojazana nyuma ya gari hiyo.

Chanzo: www.nifahamishe.com
1 comment:
Ajali inayo Kinga huu ni Uzembe na ujinga wa Dereva,wakukimbiza gari wakati akijua amepakia Binadamu.Dereva huyu akuthamini maisha ya Watu aliyo wabeba na hili ndiyo tatizo letu kubwa Waafrika kutokujali Usalama[safety]kwanza.
Post a Comment