Sunday, August 15, 2010

Norway: Utabiri wa heli ya hewa TV ya taifa NRK wachemsha!


Jana mwanemetolojia, Bw. Arild Mentzoni wa luninga ya taifa hapa Norway (NRK), alichemsha kweli, aliposema (kama picha inavyoonyesha) kuwa maeneo ya Brønnøysund kutakuwa na halijoto 100 siku ya Jumanne wiki ijayo.


No comments: