Saturday, August 21, 2010

Rasi Kikwete aanguka leo akihutubia Jangwani kwenye kampeni za uchaguzi

Rais Jakaya Kikwete leo hii alianguka kwenye kampeni za uchaguzi, alipokuwa akihutubia umati mkubwa wa watu kwenye viwanja vya Jangwani mjini Dar es Salaam. Rais Kikwete alipewa huduma za kwanza na baadaye aliendelea kuwahutubia wananchi kwa kuwaambia "amefungulia"  Inaonyesha kuwa Rais alikuwa amechoka na Swaumu ilikuwa kali..


No comments: