Friday, August 13, 2010

Unaweza kutumia miondoko mingapi kuchambua Kubik?


Kubik

Mvumbuzi wa Kubik, Profesa msanifu wa majengo kutoka Hungaria (Hungary), Erneo Kubik mwaka 1974.

Tangu Kubik ivumbuliwe mwaka 1974, wanahisabati na wapenzi wa Kubik wamekuwa wakijitahidi kuangalia uwezekano wa kufupisha mchanganuo wa Kubik kwa dakika chache, lakini wamekuwa wakishindwa. Hivi karibuni, Google na wachunguzi wengine na ”super computer” wanasema inawezekana kuichambua Kubik kwa miondoko 20 tu!

Mwaka 1992, Hans Kloosterman alitumia miondoko 42 na mwaka 2006, Silviu Radu alitumia miondoko 27 kuichambua Rubik.

Mskochi, Breandan Vallance (miaka 18) ndiye anayeshikikilia rekodi kwa kuichambua Kubik kwa sekunde 10,74

No comments: