Kwa nini watu wanaamini zaidi nguvu
za majini badala ya hoja makini?
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
Looooo mpenzi wangu, njoo kuniokoa. Licha ya kukaa mbali na wewe hadi roho inataka kupasuka kwa kukumiss, sasa nazingirwa na majini au kama si majini basi watu wanaoamini majini kama dini. Hivi unaweza kuamini kweli mpenzi kwamba nchi hii inaweza kutawaliwa na watu wanaolindwa na maruhani? Yaani! Laiti ungeweza kuja kunibebabeba hadi nyumbani niachane na mambo hayo. Wewe wanijua mpenzi, mambo hayo siyaamini tangu wale majirani zetu kutishiana kulogana mwaka mzima bila mafanikio. Lakini inatisha mpenzi, inatisha, wasomi wazima (au niseme wazimu) kuendekeza mambo hayo! Kwa nini watu wanaamini zaidi nguvu za majini badala ya hoja makini?.....bofya na endelea>>>>>

No comments:
Post a Comment