Tuesday, September 14, 2010


SAKATA la madai kuwa baadhi ya namba za simu akipigiwa mtu na kupokea huathirika, limezidi kuwatia hofu wananchi hasa baada ya kutangaza wiki iliyopita kuwa watu watatu wamedhurika.

Gazeti hili lilipata taarifa za watu wawili wakazi wa Mkoa wa Pwani na mtu mmoja wa Mkoa wa Singida kuathirika....bofya na endelea>>>>>


No comments: