Monday, September 13, 2010

Vodacom Miss Tanzania 2010

Shindano hili lilihitimishwa usiku wa kuamkia tahere 12.09.2010 katika viwanja vya Mlimani City, wilaya ya Kinondoni.

Vodacom Miss Tanzania 2010 Genevieve Emmanuel (katikati) akiwa na washindi wenzake mara baada ya kutangazwa mshindi kwenye shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam siku ya Jumamosi (kulia) ni mshindi wa tatu Consolata Lukosi na (kushoto) ni mshindi wa pili Glory Mwanga.

Genevieve Emmanuel  akilia kwa furaha baada ya kutangazwa kulitwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2010.

Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel katika picha na Mustafa Hassanali designer wa nguo yake ya jioni.

No comments: