Tuesday, October 19, 2010


BAADA ya kukataa kuwa na mahusiano ya kimapenzi, binti wa miaka 16 Laheri Maneno, mkazi wa Kijiji cha Chamdindi, Wilaya ya Iringa Vijijini ameuawa kwa kupigwa na nondo kichwani na Absalum Mbogela (22), Mkazi wa Itagutwa mkoani hapa kabla na kijana huyo naye kujiua kwa kunywa sumu. Mmoja k…bofya na endelea>>>>>

No comments: