Friday, October 22, 2010

Je, umebadili matairi?



Ule muda umefika.
Theluji imeanza
kuanguka jana sehemu 
nyingi hapa Norway.
Barabara zinateleza...
muda wa kubadili matairi
ya majira ya Kiangazi
hadi ya theluji hapa Norway
ni Novemba Mosi,
mashariki na kusini ya Norway.

No comments: