Kama hawana nguvu ya hoja wanataka kubaki na nguvu tu?
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
HUJAMBO mpenzi wangu wa moyo? Wiki hii nimekuwaza kwelikweli. Uko mzima? Hakuna anayekughasighasi? Hebu chunga sana mpenzi maana naona hali ya hewa si nzuri hata kidogo.
Ndiyo. Kwa mara ya kwanza mimi Hidaya nimeanza kuogopa. Mwanzoni nilifikiri kwamba mwaka huu hali ya siasa kwetu ni nzuri sana. Watu wanabishana, watu wanaelezana, watu wamejaa moyo wa kupigania misimamo yao kwa nguvu. Na sisi mbumbumbu ambao hatupati nafasi ya kusikia mawazo mbalimbali kila siku tunafaidika na kuanza kutumia akilia zetu. Lakini wiki hii …. Mmmh, sijui....bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment