Kijana wa miaka 29 aiba nywila milioni 67
Labda yako nayo imeibiwa, angalia
Kijana mmoja wa Kinorwejiani, anashtakiwa kwa kuiba majina tumizi (Username), nywila (passwords) na habari zingine za watu binafsi kama milioni 67 duniani.
Wizi huu wa TEKNOHAMA ni wa aina yake hapa Norway. Novemba 8, jamaa atafikishwa mahakamani hapa Oslo, kujibu shtaka hili la karne.
Polisi wa kitengo cha wizi wa TEKNOHAMA wanawashauri watu kubadili nywila zao mara kwa mara.
No comments:
Post a Comment