Mchaga na mbuzi....
Mchaga alinunua mbuzi, akamwambia mpishi:nyama nusu ipikie pilau na nyingine itie kwenye freezer. Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku, ngozi usitupe tutafanya mswala, damu tengenezea kisusio, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani. Mpishi akamuuliza: Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ringtone kwenye simu yako?
Na Dorothy J..
No comments:
Post a Comment