Vita ya bei ya simu za viganja!
Kwa kroner 189,- kampuni ya Tele2 inatoa ofa ya kupiga kadri unavyotaka, kutuma SMS na MMS nyingi kama utakavyo na kuvinjari kwenye kwenye mtandao kwenye simu yako ya kiganja hadi uchoke mwenyewe kuanzia sasa hivi hadi mwishoni mwa mwaka.
Onecall wao bei za ni kroner 199,-
Bei hizo ni kwa huduma za humu humu ndani ya Norway.
No comments:
Post a Comment