Chai na kahawa mtandaoni!
Habari njema kwa Ndugu zangu Watanzania mnaoishi nje ya Tanzania.
Tumefungua Duka la Mtandao (Online shop) la kuuza Chai na Kahawa ya Tanzania tu.
Jina la duka ni Chai & Kahawa Online Shop (www.chaikahawa.com) na liko Stockholm, Sweden.
Tunaweza kuuza na kusambaza chai na kahawa kwa mteja yeyote aliyopo nchi yeyote duniani.
Wote mnakaribishwa Kununua na kujivunia bidhaa zetu.
Kwa Mawasiliano, Maoni, Ununuzi na mengineyo, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia email info@chaikahawa.com au piga simu, tuma ujumbe mfupi (sms) + 46762878341.
NB:website iko kwenye Flash, kama utapata tabu kuifungua download adobe flash player.

No comments:
Post a Comment