YANGA IMEICHAPA SIMBA KATIKA MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM KWENYE UWANJA WA CCM KIRUMBA MKOANI MWANZA GOLI HILO LA YANGA LIMEPATIKANA KATIKA DAKIKA YA 71, KUPITIA KWA MCHEZAJI WA TIMU HIYO JERRISON TEGETE. KWA MATOKEO HAYO TIMU YA YANGA INAENDELEA KUJIKITA KILELENI MWA LIGI HIYO IKIWA NA POINTI 19 SASA HUKU SIMBA IKIBAKI NA POINTI ZAKE 15 ZILEZILE SIMBA WATAJILAUMU KWA KUCHEZEA NAFASI NYINGI WALIZOPATA TOFAUTI NA YANGA AMBAYO IMEJIPATIA NAFASI MOJA AMBAYO IMEITUMIA VYEMA NA KUIBUKA NA USHINDI HUKU GOLIKIPA WA YANGA YAO BEKO AKIWA KIZINGITI KIKUBWA NA MHIMILI MKUBWA WA YANGA KATIKA MCHEZO WA LEO HONGERA TIMU YA YANGA KWA KAZI NZURI "WELL DONE
No comments:
Post a Comment