ZUHURA Issa akiwa barabarani mbele ya mwanaye, amedai kupewa kipigo na mume wake aliyemtaja kwa jina la Ally Matutu.
Mama huyo aliliambia gazeti hili juzi, Jumamosi jijini Dar es Salaam, kuwa mume wake alimpa kipigo baada ya kwenda ofisini kwake kuomba fedha za matumizi.
The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda lilimnasa mama huyo akiwa amejikunyata na mwanaye, wote wakiangusha kilio barabarani, eneo la Mikocheni B, Dar es Salaam.
“Nimepigwa na mume wangu, kosa langu ni kuja kumwomba matumizi. Watoto wanateseka yeye hajali,” alisema Zuhura na…..bofya na soma zaidi>>>>>

No comments:
Post a Comment