Mazishi ya Evans
Mazishi yatafanyika Jumanne, 1.Machi 2011.02.28
Mwili wa marehemu utachukuliwa toka hospitali ya Ullevaal saa 3 asubuhi (09:00 CET) na utazikwa kwenye makaburi Grefsen (Grefsen kirkegård), yaliyopo Gladsvei 49 saa 4 asubuhi (10:00 CET)
The burial is scheduled for Tuesday 1st. March with a departure from Ullevål Hospital at 09:00 CET. According to the presented plan, the remains of Evans will be laid to rest in a Christian ceremony at Grefsen (Grefsen kirkegård - Glads Vei 49) at 10:00 CET.
1 comment:
Naona aliyeandika kwenye Kenyans in Norways blog haelewi maana ya Kiswahili ya kwenda kwenye kilio/msiba na rambi rambi. Angeelewa angeandika tofauti kidogo na alivyooandika.
Kwenda kwenye kilio/msiba haina maana ya kuchangisha pesa tu.
Wengine hatukutoa pesa, lakini tumepika, tumetoa vinywaji na kadhalika.
Vitu kama hivi huwezi kuviweka kwenye thamani ya pesa taslimu!!!
AMA KWELI MWAMBA NGOMA HUVUTIA KWAKE!
Ni matumaini yangu kuwa kifo cha Evans kisilete utengano wa utaifa kwa watu wa Afrika Mashariki. Kwani inaonyesha kila mtu anavutia kwake kwenye msiba huu.
Tuwape pole wazazi, yaani Martha (mama kutoka Kenya) na Abdul (baba kutoka Tanzania) na Mwenyezi Mungu Amweke Evans Pema..Ameen!
Post a Comment