Rambi rambi ya Evans
Siku ya Jumamosi 26.02.2011
tukutane kwenye kilio (msiba wa Evans)
Mahali: Lovisenberggata 21 K
Saa: kuanzia saa 10 jioni (16:00 CET).
Kuwapa pole na rambi rambi wafiwa.
Kwa wale wasioweza kufika, wanaweza
Kutoa rambi rambi zao kwenye akaunti ifuatayo:
1645.12.35579 DnB NOR
Baba wa marehemu Evans; Abdul Mohammed Mpili
Abdul anapatikana kwenye namba +47 988 78 361
1 comment:
Mkuu,
POLE SANAA
Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko
Post a Comment