Sunday, March 27, 2011


Tayari siku 19 zimekatika tangu Mchungaji Ambilikile Masapile ‘Babu’ wa Loliondo aanze kwa kasi kutoa tiba kwa kutumia dawa aliyodai ameoteshwa na Mungu ambapo utata umeibuka juu ya shuhuda za watu waliopona.

Kabla ya siku hizo, Babu Masapile alikuwa akitoa huduma hiyo lakini si kwa kiwango cha sasa.

Risasi Jumamosi, limezunguka kila pembe ya Mji wa Arusha na kuzungumza na watu waliodai kutoka kwa Babu ambapo wengi waliotoa matamko ni wale waliowapeleka ndugu zao...bofya na soma zaidi>>>>>

No comments: