Tuesday, May 24, 2011

Norway

Simu za mkononi kama tiketi za elektroniki


Waziri wa mawasiliano, Bi. Magnhild Meltveit Kleppa ametangaza kuwa, wizara yake inafanya mipangilio ili simu za mikononi ziweze kutumika kama tiketi za elektroniki kwenye sera ya usafiri na pia ziweze kutumika kama kadi za benki. Amesema kazi ya kukamilisha mipango hiyo itamalizika robo ya kwanza mwaka 2012 na matumizi yake yataanza mwaka 2013...



No comments: