Tanzania Music Television (TMTV) ni TV ambayo unaweza kuiona
online na ambayo inalenga kukuburudisha kwa njia ya mtandao na
DECODER. TMTV itazinduliwa hivi karibuni pindi maandalizi yatakapokuwa
tayari. Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel hii bure kupitia computer
yako kwa linki hii www.tmtv.co.tz.
Mauzo ya DECODER yataanza pindi decoder zitakapo kamilika.Ili watu
waweze kuona TMTV kupitia TV zao za majumbani.
Vile vile ni TV ambayo inarushwa kwa teknonlojia mpya ambayo unaweza kuangalia TMTV kupitia, MOBILE ,GAMES Kama XBOX360,SMATPHONES aina zote kama za mobile kama Nokia, Motorolla, Samsung, LG Zenye 3G n.k pia kupitia Android na Decoder TRU SATTELITE.
TMTV ni kwa ajili yetu sote, isitoshe ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu na computer zetu. Ikiwa kama MTV chanel.

TMTV ni
music chanel ambayo inaonyesha music ya kibongo mchanganyiko 24/7.
TMTV ina vipindi 10,
BENDI ZETU
SWAHILI HIP HOP
ZILIPENDWA
TAARABU
NYIMBO ZA ASILI
NYIMBO ZA DINI
SALAMU BOX
BONGO BOX
TMTV TOP 10
VIPAJI na
MUSIC NEWS.
SWAHILI HIP HOP
ZILIPENDWA
TAARABU
NYIMBO ZA ASILI
NYIMBO ZA DINI
SALAMU BOX
BONGO BOX
TMTV TOP 10
VIPAJI na
MUSIC NEWS.
Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano
wa kutosha.
TMTV
UTAWALA
No comments:
Post a Comment