Being the richest man in the cemetery doesn't matter
to me. Going to bed at night saying we've done something wonderful... that's
what matters to me.
(Steve Jobs in 1993)
(Steve Jobs in 1993)
Steve Jobs
24.02.1955-05.10.2011
Mwanzilishi wa kampuni ya Apple, Steve Jobs
amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani saa 7 na dakika 45 za usiku kuamkia leo Alhamisi
06.10.2011 (tarehe 05.10.2011 kwa saa za California). Jobs akiwa na Steve Wozniak na Mike Markkula walianzisha kampuni ya Apple 1976.
Steve Jobs alijiuzulu uongozi wa kampuni ya
Apple 24 Agosti 2011 kwa kuzidiwa na maradhi ya saratani.
Kampuni ya Apple chini ya uongozi wake na
mshiriki mwenzake Wozniak imefanya mapinduzi makubwa kwenye TEKNOHAMA.
Bofya na sikiliza
historia ya Apple “Welcome
to Macintosh”
Mwenyezi Mungu Akuweke Pema Steve Jobs…Ameen!
Kwa zaidi soma: http://en.wikipedia.org/wiki/Steve_Jobs
Na Mwamedi
Semboja,
Oslo.
No comments:
Post a Comment