Aliyekuwa mmiliki na
producer wa Motika Records na Mwanamuziki wa kwanza aliekuwa akiimba nyimbo
zake kwa miondoko ya kabila la Kimasai, Abel Motika au kwa jina la kisanii, Mr.Ebbo (pichani) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda
kidogo huko mkoani Tanga alikokuwa anaishi. Mr. Ebbo katika uhai wake
alitamba na nyimbo kama Mimi Mmasai, Kamongo, Boda Boda na nyingine nyingi.
Mwenyezi Munge Amweke Pema.
-Amin.
Mwenyezi Munge Amweke Pema.
-Amin.
1 comment:
Good strong Man with shinning teeth.
Cv template
Post a Comment