Utafiti: Chanjo ya ukimwi yagundulika
Leon Bahati (Mwananchi)
UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika
Chuo Kikuu cha Tiba cha Johns Hopkins nchini Marekani, umegundua kuwa matumizi
ya dawa za kurefusha maisha (ARV) yanaweza kuwafanya waathirika wa Virusi vya
Ukimwi (VVU) kukutana kimwili na wapenzi wao bila kondomu, pasi kuwapa
maambukizi.
Wakati wataalamu hao wakifikia hatua hiyo muhimu
katika kupata jibu la janga hilo lililoitesa dunia kwa miongo kadhaa sasa, kuna
taarifa njema pia za kugunduliwa kwa chanjo mpya ya Ukimwi...
No comments:
Post a Comment