Habari zilizoenea inasemakana kuwa mtu aliehusika na kifo chake ni Lulu
ambae alikuwa mpenzi wake, alikuwa bafuni alipotoka alimkuta mpenzi wake huyo
Lulu akiwa anaongea na simu na Kanumba alikuwa anajiandaa kwenda Club, hapo
kukawa na mzozo ambapo Lulu alimsukuma na kupelekea Kanumba kuanguka chini na
kuumia vibaya kichwani hivyo kuwahishwa haraka Hospital ya Muhimbili.
No comments:
Post a Comment