Rais Jakaya Kikwete akutana na Balozi
wa U.A.E nchini Tanzania
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Balozi wa Umoja wa Falme za
Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu
jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri Ikulu jijini Dar
es Salaam leo asubuhi
No comments:
Post a Comment