Rais Jakaya Kikwete ateua tume ya mabadiliko ya katiba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Jakaya Kikwete ametangaza
Tume ya mabadiliko ya Katiba. Mwenyekiti ni Jaji Joseph Warioba na Makamu wake ni Jaji
Augustino Ramadhani. Ina wajumbe 30 - katika mgawanyo wa nusu kwa nusu na
Zanzibar- kwamba 15 kutoka Tanzania Bara na 15 kutoka Tanzania Visiwani.
1. Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA- Mwenyekiti
2. Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI- Makamu Mwenyekiti
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA – BARA
1. Prof. Mwesiga L. BAREGU
2. Nd. Riziki Shahari MNGWALI
3. Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI
4. Nd. Richard Shadrack LYIMO
5. Nd. John J. NKOLO
6. Alhaj Said EL- MAAMRY
7. Nd. Jesca Sydney MKUCHU
8. Prof. Palamagamba J. KABUDI
9. Nd. Humphrey POLEPOLE
10. Nd. Yahya MSULWA
11. Nd. Esther P. MKWIZU
12. Nd. Maria Malingumu KASHONDA
13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)
14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE
15. Nd. Joseph BUTIKU
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA – ZANZIBAR
1. Dkt. Salim Ahmed SALIM
2. Nd. Fatma Said ALI
3. Nd. Omar Sheha MUSSA
4. Mhe. Raya
Suleiman HAMAD
5. Nd. Awadh Ali SAID
6. Nd. Ussi Khamis HAJI
7. Nd. Salma
MAOULIDI
8. Nd. Nassor Khamis MOHAMMED
9. Nd. Simai Mohamed SAID
10. Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA
11. Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN
12. Nd. Suleiman Omar ALI
13. Nd. Salama
Kombo AHMED
14. Nd. Abubakar Mohammed ALI
15. Nd. Ally Abdullah Ally SALEH
UONGOZI WA SEKRETARIETI
1. Nd. Assaa Ahmad RASHID- Katibu
2. Nd. Casmir Sumba KYUKI - Naibu Katibu
No comments:
Post a Comment