Wednesday, April 25, 2012

Zitto kwenye ITV "Kumekucha" Aprili 25, 2012



Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma amezungumza na ITV kuzungumzia masuala mbalimbali muhimu hasa masuala ya nishati na hoja ya kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu

No comments: