Bunge la Norway kubadili katiba
Kuanzia leo, Norway haitakuwa nchi ya kidini
Bunge la Norway (Stortinget) leo linabadili katiba kwenye
kipengele kinachohusu dini ya Kikristo kama dini ya taifa. Norway itakuwa nchi
haina dini kinyume na ilivyokuwa kabla ya leo. Norway ilikuwa inajulikana kama
nchi ya Kikristo. Kuanzia leo makanisa yaliyokuwa chini ya taifa, yataanza
kujitegemea, japo yatakuwa yanapata ruzuku kutoka serikalini.
No comments:
Post a Comment