Waziri
wa biashara na viwanda amsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa TBS
Bw. Charles Ekelege.
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah
Kigoda ameiagiza Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kumsimamisha kazi
Mkurugenzi wake Mkuu, Charles Ekelege. Akizungumza na waandishi wa
habari Dar es Salaam juzi, Dk Kigoda alisema Mkurugenzi huyo wa TBS anatakiwa
kusimamishwa kazi ili kupisha taratibu za kisheria ikiwamo suala la uchunguzi
dhidi yake kufanyika.....
No comments:
Post a Comment