Wednesday, May 09, 2012

Joshua Nassari akitangaza Rais atahitaji visa kufika Arusha.



5 comments:

Anonymous said...

Mi nadhani hivi vyama vya siasa vinapaswa kupeleka wabunge wake kwenye chuo cha diplomasia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Mi si mwanaCCM wala CHADEMA. Tukatae tukubali, bado Rais Kikwete wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kutoa maneno kama hayo kwa kweli ni kutaka kuwatenganisha Watanzania kwa chuki na mabaya

Anonymous said...

CHADEMA wanapaswa kumwita na kumkaanga. Amekosa nidhamu huyu kijana

Anonymous said...

Huyu kijana hana adabu! Alitakiwa apigwe bakora mbele za watu!

Umsolopagaas said...

Nakubaliana na aliyeaandika kwanza kuwa wabunge kabla ya kuapishwa wakapigwe msasa chuo cha diplomasia. Wajifunze jinsi ya kuzungumza kwa busara huku wakimwaga sera za vyama vyao bila kukejeli au kutukana mtu