Mwizi alitoroka jela usiku.
Polisi wakawa wanamfukuzia. Yule
mwizi akakimibilia makaburini huku anavua nguo, akabaki uchi. Akakaa kwenye
kaburi. Polisi walipokuja wakamuliza "je bwana umemuona mwizi akipita
hapa? Akajibu "ah, mimi mwenyewe ndio kwanza nimezikwa jana napunga upepo,
"labda muwaulize waliolala hapa. Askari walitoka mbio!
No comments:
Post a Comment