Thursday, October 11, 2012

Balozi Mohammed Mzale kukutana na Watanzania mjini Oslo, Ijumaa 12. Oktoba 2012


Balozi Mohammed Mzale.


Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Skandinavia na za Baltics, Mhesh. Mohammed Mzale anafika Oslo leo kuhudhuria mkutano

"Norwegian African Business Summit 2012"


Angependa kukutana na Watanzania:
Ijumaa, 12. Oktoba 2012
Saa: 19:30 CET
Mahali: Radisson Blu Plaza
(jirani ya Galleri Oslo)
 
Kwa maelezo zaidi, piga
47 22 73 66



No comments: