Livunjeni kwanza Jeshi la Polisi ili mhalalishe JWTZ kuingia mitaani!
HAKUNA tatizo kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuingia mitaani na kusaidia kusimamia sheria na kulinda amani. Tatizo lililopo ni kuwa hawajatuambia kama Jeshi letu la Polisi ambalo ndilo lenye wajibu wa kulinda amani na utulivu na kuhakikisha usalama wa raia limeshindwa kazi yake. Kuna sababu moja tu ya Jeshi (army) kuruhusiwa kuingia mitaani kushughulikia matatizo ya kiraia; wakati Jeshi la Polisi limezidiwa au limeshindwa.....
Bofya na kusoma zaidi>>>>
No comments:
Post a Comment