Vikosi vya ulinzi na usalama jinsi vilivyodhibiti vurugu zilizotokea jana Dar es Salaam
Barabara ya kuingia katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi zikiwa zilifungwa jana kufuatilia vurugu kubwa maeneo ya katikati ya Dar es Salaam.
Polisi wakifanya doria kwa kutumia pikipiki
Hali ilikuwa mbaya sana kiasi ambacho dola iliita Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kusaidia polisi kuzima vurugu zilizotokea jana Dar es Salaam.
Askari wa jiji wakishiriki kikamilifu katika zoezi la kuwakamata watu waliokuwa wamekusanyika kwa nia ya kutaka kuandamana katika eneo la Kariakoo.
Picha kwa hisani ya http://daresalaam-yetu.blogspot.no/
No comments:
Post a Comment