Waziri Mkuu Mhesh. Pinda kukutana na Watanzania Uingereza
Waziri Mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda atakutana na watanzania waishio UK dhumuni likiwa ni kuzungumzia mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu kisiasa, kiuchumi, n.k.
Pamoja na hayo pia maswala yaliyozungumzwa kwenye ziara yake ya mara ya kwanza yataelezewa.
Siku: Jumanne, 16.Oktoba 2012
Mahali: Tanzania High Commission, London
Time: 17:00 jioni (saa kumi na moja jioni).
Inashauriwa wale wote wanaopenda kuhudhuria wajiandikishe kupitia email:
watanzaniauk@gmail.com
Wote mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment