Mtanzania mwenzetu, Selyan Samson Ene Sabore (wa Tøyen, Oslo) amefariki dunia leo jioni nchini Finland alikokuwa kwenye mapumziko na marafiki zake. Selyan alikuwa anafanya mazoezi, akaanguka na kuzimia kufa (comma), Jumamosi, Novemba 17. Bahati mbaya hakuamka na leo jioni akafariki dunia. Mwenyezi Mungu Amweke Pema...Ameen (Tutazidi kuwajulisha mipango ya mazishi itakavyokuwa)
Selyan Samson Ene Sabore (a Tanzanian of Tøyen, Oslo), is no longer with us! Selyan collapsed and fell into a comma during training in Finland on Saturday 17th November. Unfortunately, she died this evening. May Almighty God Rest Her Soul In Peace...Ameen!
No comments:
Post a Comment