Mwaliko kutoka Chama Cha Watanzania Sweden kwa Watanzania, hususan wa nchi za Nordic (Norway, Sweden, Denmark, Finland, Iceland, Greenland, visiwa vya Faeroe). Tafrija itafanyika kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Stocholm, tarehe 7 Septemba 2013 kuanzia saa 19:00 CET
Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa njia hizi
Simu: +46 735749831 au +46 735857179 na +46 723944600 unaweza pia kuwasiliana kwa barua pepe:tanzanianswe@hotmail.com
No comments:
Post a Comment