WIKI iliyopita, Rais Jakaya Kikwete
aliendeleza utaratibu wake wa kulihutubia taifa takriban kila mwisho wa mwezi.
Japo wakati mwingine hotuba zake huonekana kama maelezo tu ya masuala ambayo
tayari wananchi wanayafahamu au pengine maelezo tu ambayo hayana majibu kwa
maswali yanayowasumbua wananchi, ukweli kuwa Rais anathamini kuzungumza na
taifa mara kwa mara ni jambo linalostahili pongezi.
No comments:
Post a Comment